MAADHIMISHO YA JUMA LA VIJANA UVKMT SEGEREA
IBADA YA MAADHIMISHO YA JUMA LA VIJANA UVKMT SEGEREA
- Umoja wa vijana wa kanisa la Mennonite Jimbo la Segerea leo wamepata nafasi ya kushiriki katika Maadhimisho maalum ya Juma la vijana ambalo ilifanyika siku ya jumapili ya tarehe 5/10/2025, katika Kanisa la Mennonite Jimbo la Segerea.
- Ibada hii imeongozwa na vijana wa Jimbo Hilo pamoja na huduma zote zilitolewa na vijana hao jimboni.
- Pia maadhimisho haya yataendelea mpaka mwisho wa Mwezi huu kwani Mwezi wa kumi kwa mujibu wa kalenda ya KANISA LA MENNONITE ni Mwezi wa vijana.

Comments
Post a Comment