Posts

MAADHIMISHO YA JUMA LA VIJANA UVKMT SEGEREA

Image
  IBADA YA MAADHIMISHO YA JUMA LA VIJANA UVKMT SEGEREA Umoja wa vijana wa kanisa la Mennonite Jimbo la Segerea leo wamepata nafasi ya kushiriki katika Maadhimisho maalum ya Juma la vijana ambalo ilifanyika siku ya jumapili ya tarehe 5/10/2025, katika Kanisa la Mennonite Jimbo la Segerea. Ibada hii imeongozwa na vijana wa Jimbo Hilo pamoja na huduma zote zilitolewa na vijana hao jimboni. Pia maadhimisho haya yataendelea mpaka mwisho wa Mwezi huu kwani Mwezi wa kumi kwa mujibu wa kalenda ya KANISA LA MENNONITE ni Mwezi wa vijana. BONYEZA HAPA KUTAZA PICHA ZA IBADA YA VIJANA BONYEZA HAPA KUITAZAMA IBADA YA MAADHIMISHO YA JUMA LA VIJANA KMT SEGEREA

JIMBO DAY

 JIMBO DAY 14/09/2025 Matukio ya Ibada ya Jimbo day 14/9/2025. Pakua picha hapa Tazama Video ya Ibada ya Jimbo day Unaweza kutufuatilia kupitia Facebook, Instagram na YouTube 1. Facebook 2. Instagram 3. YouTube

IBADA YA WANAWAKE KMT SEGEREA

Image
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KATIKA KANISA LA MENNONITE TANZANIA JIMBO LA SEGEREA

Dm Digital 255

Image
 Dm Digital 255