IBADA YA MAADHIMISHO YA JUMA LA VIJANA UVKMT SEGEREA Umoja wa vijana wa kanisa la Mennonite Jimbo la Segerea leo wamepata nafasi ya kushiriki katika Maadhimisho maalum ya Juma la vijana ambalo ilifanyika siku ya jumapili ya tarehe 5/10/2025, katika Kanisa la Mennonite Jimbo la Segerea. Ibada hii imeongozwa na vijana wa Jimbo Hilo pamoja na huduma zote zilitolewa na vijana hao jimboni. Pia maadhimisho haya yataendelea mpaka mwisho wa Mwezi huu kwani Mwezi wa kumi kwa mujibu wa kalenda ya KANISA LA MENNONITE ni Mwezi wa vijana. BONYEZA HAPA KUTAZA PICHA ZA IBADA YA VIJANA BONYEZA HAPA KUITAZAMA IBADA YA MAADHIMISHO YA JUMA LA VIJANA KMT SEGEREA
Cool
ReplyDelete